| Information | |
|---|---|
| has gloss | eng: Victory is a 2009 Indian cricket-based sports film starring Harman Baweja, Amrita Rao and Anupam Kher. It is Harman Bawejas second release after his debut film Love Story 2050, which performed very badly at the box office. The movie was filmed in Australia and India, and is said to be one of Bollywoods most expensive movies to date. Victory tells the story of a struggling cricketer who defies all odds to realize an almost impossible dream. |
| lexicalization | eng: Victory |
| instance of | c/2009 films |
| Meaning | |
|---|---|
| Swahili (macrolanguage) | |
| has gloss | swa: Victory ni filamu ya Kimichezo ya 2009 ya India amayo inaangazia mchezo wa Criketi, ambayo nyota wake ni Harman Baweja, Amrita Rao na Anupam Kher. Ni toleo la pili la Harman Baweja baada ya toleo lake la kwanza la Love Story 2050, ambayo haikutia fora katika Box Office. Movie hii ilinaswa nchhini Australia na India na inasemekana kuwa moja ya filamu zilizoigharimu Bolywood sana hadi leo. . |
| lexicalization | swa: Victory |
Lexvo © 2008-2026 Gerard de Melo. Contact Legal Information / Imprint